Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20200420-204452_Chrome.jpg
 
TENDE NI NINI..?


Ni tunda ambalo asili yake ni kutoka uarabuni asili ya uotaji wake ni katika Mazingira ya ukame yaani Jangwa. Tunda hili ni maarufu sana hususan kwa jamii ya kiislam, kutokana na utumikaji wa hali ya juu haswa katika kipindi cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.Katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, tende ndiyo tunda linaloliwa kwa wingi, pengine kuliko tunda lingine. Tende hutokana na Mtende yaani tende ni tunda linalopatikana katika mti uitwao Mtende
 
Je Ulaji wa Tende Una Faida Gani Katika Miili Yetu...? Pamoja na kuwa ni tunda lenye ladha tamu na nzuri mdomoni, lakini kisayansi pia limethibitika kusheheni madini na vitamini lukuki, hivyo kuwa na faida nyingi kiafya
 
Na izi zifuatazo ni miongoni mwa Faida za Tende Katika Miili Yetu.

1. Ukila tende mara kwa mara, mwili wako utapata aina mbalimbali za madini na vitamin za kutosha, ambazo zinapatikana kwenye tunda hili maarufu duniani. Katika tende kuna kiasi kidogo tu cha mafuta (fat) na haina lehemu (kolestrol).
 
3. Ulaji wa tende huimarisha na kuboresha mfumo wa usagaji chakula tumboni, hivyo utaondokana na matatizo ya ukosefu wa choo, au matatizo ya kupata choo kigumu kinachosababisha maumivu wakati wa kujisaidia. Pia ndani ya tende kuna virutubisho vya ‘amino acids’ ambavyo ni muhimu mwilini.
 
Back
Top Bottom