Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
😂😂😂😂😂Wakishua hapo mbele akina sie tumejaza kabati kubwa la vyombo vya udongo"vya wageni"na kativiii kamekaa kati kati pemben tumeweka friji ukutani aiseee tumejaza picha balaaa
Wewe wakishua embu nenda kaangalie TV ya chumbani kwako hapa sebleni muache mdogo wako aangalie Cartoon zake