Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa kipindi chote hicho muda wa vipindi vya dini ulikuwa unahudhulia vyama gani au muda wa hivyo vipindi ulikua unatoroka shule?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ile school ya upande wenu hakuna mapambio,vipindi kwa kizungu na ukihudhulia lazima usome bible study na mtihani juu.wengi tulikua tunakwepa na hatulazimishwi
 
Msongo wa mawazo unapelekea kupunguza nguvu za seli hai ambazo ndio hupambana na maradhi mwilini(Binti Mpole atanisaidia hapa)

Watu wenye mawazo pia ni miongoni mwa watu ambao wakipata huu ugonjwa wanakuwa kwenye risk kubwa ya kupotea

Usiuzingatie sana huu ugonjwa wewe ishi maisha kama hakuna kinachoendelea pia penda kufanya au kufatilia vitu ambavyo vitakupotezea mawazo
Umemaliza kila kitu japo ni ngumu sana kushinda vita dhidi ya msongo wa mawazo bila msaada wa mtaalam
 
Marahaba Anko. Najivunia kilimo cha vitunguu maji...
Natembea kifua mbereee[emoji16][emoji16][emoji16]

Niombee niache "uchiinka" (in Carleen's voice)

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikikuombea tutakosa uhondo alutakontinua
 
Hako kamlio kanaleta mawazo mengi sana japo sie wa hali ya chini hatuwezi kukakodi kwa wakati muafaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku kwetu barabara ya vumbi huwa kanaongozana na wale "harooo" tunajua huko tayari....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikikuombea tutakosa uhondo alutakontinua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoo tokaaa kwa jina la Yesu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom