Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado natafuta majani jamani ee mmoja aanzishe uzi kuulizia majani ya kujifukiza. Wenzetu mnatumia majani gani?
Majani ya mnyonyo, mpapai, mjoolo/ndengele, muarobaini, mlingoti,n.k.
Kwa tulio kulia vijijini hiyo ndio ilikuwa tiba yetu. Ilikuwa haijalishi ni mama katoka kujifungua au kijana/binti kavunjika/kateguka mguu/mkono wote ni mwendo wa kukandwa na hayo majani.
Kwa wagonjwa wa tumbo ilikuwa ni mizizi yake inachemshwa na kunywewa, homa ilikuwa ni kufukizwa kwa kufunikwa na blanket au mashuka.
Ahsante rais wetu kwa kujiongeza angalau tujitibu kama ilivyokuwa hapo kabla ya hawa wajinga hawajatutawala kila idara kwa kutumia elimu yao ya kipumbavu isiyo na usawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majani ya mnyonyo, mpapai, mjoolo/ndengele, muarobaini, mlingoti,n.k.
Kwa tukio kulia vijijini hiyo ndio ilikuwa tiba yetu. Ilikuwa haijalishi ni mama katoka kujifungua au kijana/binti kavunjika/kateguka mguu/mkono wote ni mwendo wa kukandwa na hayo majani.

Shukrani sana anko
 
✔✔✔
 
Screenshot_20200423-200932.png

Davet run again
 
Back
Top Bottom