myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Majani ya mnyonyo, mpapai, mjoolo/ndengele, muarobaini, mlingoti,n.k.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado natafuta majani jamani ee mmoja aanzishe uzi kuulizia majani ya kujifukiza. Wenzetu mnatumia majani gani?
Yako wapi?Haya Mambo yapo
Shukrani sana ankoMajani ya mnyonyo, mpapai, mjoolo/ndengele, muarobaini, mlingoti,n.k.
Kwa tukio kulia vijijini hiyo ndio ilikuwa tiba yetu. Ilikuwa haijalishi ni mama katoka kujifungua au kijana/binti kavunjika/kateguka mguu/mkono wote ni mwendo wa kukandwa na hayo majani.
Kwa wagonjwa wa tumbo ilikuwa ni mizizi yake inachemshwa na kunywewa, homa ilikuwa ni kufukizwa kwa kufunikwa na blanket au mashuka.
Ahsante rais wetu kwa kujiongeza angalau tujitibu kama ilivyokuwa hapo kabla ya hawa wajinga hawajatutawala kila idara kwa kutumia elimu yao ya kipumbavu isiyo na usawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
✔✔✔Majani ya mnyonyo, mpapai, mjoolo/ndengele, muarobaini, mlingoti,n.k.
Kwa tukio kulia vijijini hiyo ndio ilikuwa tiba yetu. Ilikuwa haijalishi ni mama katoka kujifungua au kijana/binti kavunjika/kateguka mguu/mkono wote ni mwendo wa kukandwa na hayo majani.
Kwa wagonjwa wa tumbo ilikuwa ni mizizi yake inachemshwa na kunywewa, homa ilikuwa ni kufukizwa kwa kufunikwa na blanket au mashuka.
Ahsante rais wetu kwa kujiongeza angalau tujitibu kama ilivyokuwa hapo kabla ya hawa wajinga hawajatutawala kila idara kwa kutumia elimu yao ya kipumbavu isiyo na usawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁😁 jamaniSipati picha jinsi unadeka wa kishua
#polesana
Pole abuui wa watu(chamdeko)Sijielewi elewi Mpendwa, siku ya tatu leo kila inapofika jioni kichwa kinaanza kuuma sana
Shukrani sana anko
Aise umefikia level ya ngapi ??
Amen [emoji120][emoji120]View attachment 1428358
Mungu ibariki Tanzania
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] jamani
#asante.......
Cheiii kana hadithi tamu haka kakitabu hasa ukiwa boarding school kaamsha mashikolo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]