moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Usiku wa tufaa
Kheri jirani. Pole ya funga, vipi imeanza leo?
Mimi bukheri wa afya. Habari ya wewe?Hujambo lakini weye?
[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiku wa cole.
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji818][emoji818]Weka saa ya kukuamsha (alarm clock) mbali na kitanda ikiwa na sauti kubwa, ni vizuri ukitumia wimbo uupendao.
SafiiUsiku wa ndizi View attachment 1428401
Mambo hayoView attachment 1428395
Karibuni Wapendwa kujifukiza
SawasawaHuwezesha kujizalisha upya kwa seli
Seli hukua na kuchakaa au hata kufa kwenye mwili wa binadamu. Kama ilivyo kwa kinga mwili, utafiti unaonyesha kuwa unapofunga mwili huzalisha seli mpya ili kujiaanda au kukabili badiliko lolote linaloweza kutokea.