carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Una dilute hangover?[emoji23][emoji23][emoji23]Sprite nitakunywa glass ngapi sasa? [emoji23]
Bro unapataje shida wakat unapigaga tiz😀😀😀😀
Asante sana
Naelewa naelewa ✌Ok bro, inabidi kujua ili kutokuharibu ibada.
#fullMawazoFasaha
Mie namshukuru Mungu sina cha kulalamikaVipi wewe mzima?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nifungie ya 2000 mwezi mzima najifukizia hayo hayoSawa mtani kama mlonge hautafaa nauza majani ya mwarobaini fungu kuanzia 500
wewe miarobaini unaitoa wapi?Unapanda juu ya miti?Sawa mtani kama mlonge hautafaa nauza majani ya mwarobaini fungu kuanzia 500
Kuna muda nilikuwa najifunua nipate mapumziko kidogo maana sio poa 😀Itakuwa uliteseka sana leo[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 sijui kwanini unalazimisha yawe ni maji?.....Una dilute hangover?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua maji bhana