Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bange mbaya sana usisikie:

KONDA:
Oya mie MENDE unanijua mie? nakwambia mie MENDE, baba yangu MENDE, mama yangu MENDE na hata mie mwenyewe MENDE. .

ABIRIA: Sawa utapuliziwa dawa kama wewe MENDE, wewe unadai ni MENDE utapuliziwa dawa, baba yako ni MENDE naye atapuliziwa dawa, mama yako naye ni MENDE utapuliziwa dawa. Nakwambia wote mtapuliziwa dawa. .
 
Back
Top Bottom