Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1587367045836.jpg
 
Huku wameweza ku-flatten the curve japo hot spots zinaenda zinahama hama. Kama mambo yasipobadilika Mei 1 tutaachiliwa japo kwa tahadhari na kwa hatua. Hata madukani sasa hali imeanza kurudi sawa mpaka jana nimeweza kununua mabunda ya barakoa dukani - bidhaa adimu ambayo kuipata ilikuwa shida sana.

Tuombe Mungu Aendelee kutulinda shem. Huko nyumbani kama kweli zile video za Amana Hospital ni za kweli basi hatuko siriazi hata kidogo....

View attachment 1429020
Mungu atusaidie shem hili janga liishe maana dah!
 
Back
Top Bottom