moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Asante sana
Wakulima poleni sana...
Wakulima poleni sana...
Mungu atupe jioni njema...
Tuwe na afya na uzima,,,
Mungu atulinde/atuepushe na corona....
"Viti vya bank, sio mbaya nimeambulia japo location"Mambo ni vipi spiderman[emoji137]
Duh! hatariKwa Putin nako kumewaka moto. Alikuwa anajimwambafai mwanzoni na kumpelekea ventilators rafiki yake Trump sasa naye anataka msaada. Hii Korona hii dah !!!
View attachment 1428974
Umefanyaje ngoshaUzi huu bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ndo imeshatoka hiyo waombe nini tena wacheza rede hawa. Watajaribu tena baada ya miaka 50. Shwaini zao na makelele yao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]