Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baadhi ya watumishi kwenye hospitali zetu wakimpokea mgonjwa mwenye joto kali wanamkimbia--- Waziri wa Ummy Mwalimu
FB_IMG_1587743955819.jpeg
 
"Nimesitisha sherehe yangu ya kuzaliwa, gharama nilizopaswa kutumia kwenye sherehe hiyo nitanunua sanitizer, barakoa na ndoo za maji, nitaenda kusaidia jamii za watu huko Manzese Dar es salaam"--'Madee
FB_IMG_1587746596957.jpeg
 
Maajabu ya Mlonge

Mlonge au Moringa oleifera kwa kiingereza umekuwa ukijulikana kama mti wa miujiza kwa karne nyingi katika baadhi ya nchi za Afrika, Asia na katika nchi za Caribbean.
 
Back
Top Bottom