Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.28412509216433178E18.jpg
 
Kwena sana shem nashukuru Mungu.
Mapambano ndo kama hivyo ni mwendo wa kujifusha tu[emoji23][emoji23]

Vipi huko?lockdown inakupelekaje?.

Thanks for caring shem[emoji120][emoji120]
Kwani yeye anajua hayo? Yeye kazi yake ni kutoa matamko ...

Kwema lakini shemeji? Mapambano yanaendeleaje? Please take care of yourself hata kama ni kukimbia kimbia tu ikibidi hasa kama hakuna PPE. Wi stili niidi yu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Sasa hawa virus mbona wanaondoka halafu wanarudi !!?

Bora waharakishe chanjo tu aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona walizembea au walikuwa wanaficha ficha. Na sidhani kama walifunga mipaka yao mapema na hasa usafiri wa ndege.

Chanjo wanasema pengine mpaka mwaka kesho katikati. Hata wakiigundua leo, kuna kufanya majaribio, kuithibitisha kama haina madhara halafu sasa kujenga maabara za kuizalisha kwa wingi, jinsi ya kuisambaza duniani kote n.k. Tupambane tu lakini mpaka chanjo ikatufikie bado sana....
 
Mwaka kesho katikati tutapoteana aisee..

Hadi kipindi hicho miili yenyewe itakuwa ishaanza kudevelop immunity nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwena sana shem nashukuru Mungu.
Mapambano ndo kama hivyo ni mwendo wa kujifusha tu[emoji23][emoji23]

Vipi huko?lockdown inakupelekaje?.

Thanks for caring shem[emoji120][emoji120]

Huku wameweza ku-flatten the curve japo hot spots zinaenda zinahama hama. Kama mambo yasipobadilika Mei 1 tutaachiliwa japo kwa tahadhari na kwa hatua. Hata madukani sasa hali imeanza kurudi sawa mpaka jana nimeweza kununua mabunda ya barakoa dukani - bidhaa adimu ambayo kuipata ilikuwa shida sana.

Tuombe Mungu Aendelee kutulinda shem. Huko nyumbani kama kweli zile video za Amana Hospital ni za kweli basi hatuko siriazi hata kidogo....

20200424_110917.jpg
 
Mwaka kesho katikati tutapoteana aisee..

Hadi kipindi hicho miili yenyewe itakuwa ishaanza kudevelop immunity nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana makampuni makubwa ya madawa wala hawana moto sana kwa sababu wanajua hawatapiga hela za kueleweka. Mtu unatumia mamilioni ya dola halafu unakuja kuipata chanjo unakuta hata haihitajiki tena. Pesa za mashirika na watu binafsi ndizo zitaokoa jahazi.
 
Back
Top Bottom