Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kujilinda ndiyo kupi hasa? Mbona hata Kenya nako mambo ni yale yale mbali na hatua zote muhimu?Mkurugenzi wa WHO kanda ya Afrika Matshidiso Moeti, amesema, kuchelewa kuchukua hatua za haraka kujilinda ndiko kulikopelekea Tanzania kupata wagonjwa wengi wa corona kwa wakati mmoja.View attachment 1429023
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Mzee nae si angetafuta anayelingana nae.
Huku ni 80/100 mzeeHahah aisee mzee
Huku kwema bro, mnaendeleaje huko?
😂😂😂😂Alikuwa anakaba kitimu kama inter Milan ya Jose Mourinho, kila nikiotea wapi
Yaani matokeo yale kwake yalikuwa mazuri sana [emoji1][emoji1]
Mfungo umeanza ama bado?