myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
🙏🙏jumma mubarak
🙏🙏jumma mubarak
Mlonge [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Wanauzi nimewawekea dawa hio toka kwa digba
Huyu mwamba anajua kila kitu. Hata akiulizwa maswali technical wataalamu wakianza kutoa maelezo anawakatisha na kuanza kubwabwaja yeye. Anasema ratings za vituo vya TV zinakwenda juu anapokuwa anaongea.
Hii ngoma mpaka ikaishe sijui itakuwaje aisee...
Huyo Mzee nae si angetafuta anayelingana nae.Kupenda ni matakwa ya nafsi yake utamuingiliaje?
Nadhani tamaa ya mali.
Wanadhani mama yao wa kambo atafaidika na mali za mzee wao
Watatuambikiza kimasihara walozi ☹️☹️
Mfungo umeanza ama bado?