Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Asante sana ma kijacho[emoji2]!! Na ikawe Ramadhan njema sote pia.Ndugu zetu niwatakie maandalizi mema ya mfungo wa Ramadan
Asante sana ma kijacho[emoji2]!! Na ikawe Ramadhan njema sote pia.Ndugu zetu niwatakie maandalizi mema ya mfungo wa Ramadan
Pole sana.Majukumu tu ya hapa na pale
Hahahaha wewe mchokozi eti kina ankoKwema Prisca?kina ankoo hawajambo hapo??
Asante sana kwa ile list,, bado naenda nayo vyema
Bro.. Mambo niaje?Pole sana.
Nakutakia Lunch NJEMA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ankoo aione hiiHahahaha wewe mchokozi eti kina anko
Kwema kabisa
List imetulia au inaboa?
Niko sawa Bro, vipi hali?Bro.. Mambo niaje?
Mnaendeleaje hapo?
Kheri ya Ramadhan njema pia bro..Heri ya Ramadhani
[emoji23][emoji23]anko impite tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ankoo aione hii
List imetulia Numby,asante sana
Naenjoy kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23] source gani hii mzee
Asante Numby, na kwako pia!![emoji23][emoji23]anko impite tu
Aah sawa. Uwe na muda mwema.
Cole mkorofi jaman[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] source gani hii mzee
Asante nawe piaPole sana.
Nakutakia Lunch NJEMA.
Nilikuwa sina uhakika na huyo wa mwishoNdio wenyewe 👌
Ukiwa baba lazima uwe na msimamo, kama parachichi halija rojoleka kwanini lisitumike?!!
Kama ni nyumba na wenyewe wajenge za kwao wasitegemee za urithi...
#nguvuyakonokonokukitanda...
#hakunafenesilenyemiibakwakonokono...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekosa nyumba kwa ujinga wao wanaingilia maamuzi ya Mzee.
Kheri ya Ramadhan njema pia bro..
Hope upo poa na unaendelea vyema kujikinga na corona, InshaAllah