Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kgothalo


Screenshot_2020-04-24 IMG_20200314_105834_206 jpg (JPEG Image, 518 × 292 pixels).png
 
Mkuu hebu jaribu hii tiba,maana Mimi nilikutikana na hali hii Mafua na kikohozi kigumu kwa wiki ya kwanza,baadae nikafuatiwa na madonda ya koo,kwa kweli nilijua ni Covid maana wiki tatu kabla nilikuwa mwanza jijini,ila kwa sasa koo haliumi,ila hari ya mafua ipo kwa mbali

Tiba iliyonisaidia ni unga wa mlonge pamoja na juisi ya tangawizi kutwa Mara tatu hadi utakapopata nafuu,ila within a wiki unaweza recover

Pole sana mkuu,ila khali ikizidi sana nenda hospital,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa baba lazima uwe na msimamo, kama parachichi halija rojoleka kwanini lisitumike?!!
Kama ni nyumba na wenyewe wajenge za kwao wasitegemee za urithi...

#nguvuyakonokonokukitanda...
#hakunafenesilenyemiibakwakonokono...


Sent using Jamii Forums mobile app
ANkoooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante bro. Heshima hiyo ikurudie saba mara sabini.

Huku kwema sana. Mgeni wetu naona ni kama vile ameanza kutambua kwamba ugeni wake hautakiwi na umegeuka mzigo kwa wenyeji. Dalili za kufungasha virago vyake zimeanza kuonekana. Tuombe aondoke aende zake kama alivyokuja. Huko kwako vipi? Hao Wasukuma wanasemaje? Hujaona vituko vipya wakifanya wakati huu wa Korona? Tushirikishe pulizi [emoji16]
Huku salama pia bro, tunaendelea vyema kabsa..

Ni vyema kama kaanza kutambua hilo, kila kitu kitakuwa sawa tu bro..

Wasukuma wapo tu, hawaishii vituko hawa, ntaviweka baadae[emoji2]
 
Back
Top Bottom