Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

E57A2AEA-1E45-4A11-B4A9-FEB1CE3FF2E7.jpeg
 
Namna ya kutumia unga wa majani ya mlonge:
Anza na kijiko kidogo kimoja cha chai ukichanganya na vimiminika kama maji ya uvuguvugu au juisi yoyote ya matunda uliyotengeneza mwenyewe nyumbani au katika uji au hata kwenye mtindi kutwa mara moja na taratibu ongeza kiasi cha dawa kadri unavyohitaji.
Unaweza kuuchanganya pia kwenye wali wakati unakula au unaweza kuweka ndani ya kikombe cha uji au unaweza kutumia kama majani yako ya chai ingawa hautakiwi uchemshe sana kwenye moto.
 
Back
Top Bottom