Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee siku hizi huogopi kabisa kuonyesha ufundi wako, naona mixer mikasi ya hapa na pale. Mashabiki tumeweka mikono kichwani hatuamini tunachokiona

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mkatalunya eeehe basi inatosha
 
Binzari ni nini?Inataka kufanana na jamii nyingine ya familia ya tangawizi, binzari (turmeric) kwa jina la kisayansi huitwa,Curcuna longa, ni zao linaloweza kuishi zaidi ya miaka miwili (perennial crop), ni mti shamba, asili yake ni India. Binzari inafanana na tangawizi mbichi ,kabla ya kupatikana kwa unga wake muhimu kwa matumizi.
 
Rangi kali ya njano ya mti shamba huu yawezekana ikawa ndio sifa yake kuu.Itakuwa umewahi kuiona, hata kama hukuitambua, na kama umewahi kufaidi chakula cha kihindi , basi kwa hakika utakuwa umewahi kuionja au kuila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…