myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
HatariNyumba 80 zimezingirwa na maji na magari yamekwama kijiji cha udindifu kata ya Mapinga Bagamoyo View attachment 1429094
HatariNyumba 80 zimezingirwa na maji na magari yamekwama kijiji cha udindifu kata ya Mapinga Bagamoyo View attachment 1429094
😂😂Hutumika pia kumtuliza au kumfanya mtu mwenye kifafa atulie (a-‘relax’).
SawasawaMuhimu: Mama mjamzito asitumie mafuta ya mbegu za mlonge
Duh!!! Halo unaweza mwaga Maji!!!Mwendo wa maji tililika..View attachment 1429189
Huko kijijini kwa bibi imeoteshwa karibu na mkokoa,hadi mwezi wa sita ndio inachimbuliwa kwa ajili ya kuupendezesha wali na samaki mbelele...Watu wenye magonjwa ya moyo huwa wanashauriwa kuitumia sana na kama wasipoweza kuipata basi watumie supplements. Kachupa kadogo ka vidonge vyake au maji huuzwa kwa dola 37 madukani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe hukumsoma Pazi na Jogoo wewe na si ajabu hata kuzaliwa ulikuwa bado !!!