Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mimi mwenyewe hata sijui kama leo umekatika mana sijashinda home ila kuna siku alisema na kweli ulikatika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwetu haujakatika naona anadanganya tu
Yani nimeingia humu fasta kuleta hii taarifa kumbe tayari ipo? ππππ
Anapandisha presha huyu jamaa. Just imagine asubuh chatting zimeninogea kuingia humu naona sms yake halafu betri 10% aah alikata mudi ghaflaMimi mwenyewe hata sijui kama leo umekatika mana sijashinda home ila kuna siku alisema na kweli ulikatika
πππ awe anasema ni maeneo gani ambayo umeme utakatikaAnapandisha presha huyu jamaa. Just imagine asubuh chatting zimeninogea kuingia humu naona sms yake halafu betri 10% aah alikata mudi ghafla