moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Tetesi.
Marais wawili maarufu wanaumwa
Marais wawili maarufu wanaumwa
Safi mtoto, waombee na hawa JF mana hawana muda wa kuomba zaidi kukosoa, kukoment na ku like, n.k, nikiwemo na mim sijui, Mungu nisamehe kuanzia Leo nitaenda ibadani na kusali kila siku, kabla ya kuingia online JF nitaanza kwa kusali, amina
Huyu jamaa huwa hadanganyi kabisa 😁Kwani umekatika kweli?
Zibaki kuwa tetesi tu, na kama wanaumwa kweli, Mola awape ahuweni wapate nafuu mapema wawatumikie wananchi wao
Mkuu tunakuomba usichoke kuwa unatupa hizi taarifaUmeme utakatika chaji simu.
Enzi hizo nilikuwa bingwa wa kusahau nikikuta wenzangu wanacheza najumuika nao.
Enzi hizo nilikuwa bingwa wa kusahau nikikuta wenzangu wanacheza najumuika nao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwetu haujakatika naona anadanganya tuHuyu jamaa huwa hadanganyi kabisa 😁
Huyu wa chini eti ana miaka 36 tu daah mwili wote huo na bado cheo kizito bahati iliyoje.
Corona mpendwanataka nibadilishe username......
kila mtu jina analolipenda baadae nifanye maamuzi