Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
W/A SalaamAsalaam Alyeikum
W/A SalaamAsalaam Alyeikum
Walyekum msalamAsalaam Alyeikum
Ni kweli ndugu yangu, ilikuwa kama hamna mawese au karanga unga wa binzari ilikuwa ndio mbadala kule kijijini. Nimeimiss halafu yake kwakweli... Ahsante binti mpole kwa kunikumbusha ujana wangu.
Ndani ya siku ngapi hizi naenda kuichimbua japo sijaona kwenye maelezo ya binti mpole kama inaongeza nguvu za kiume
Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani unga wa bizari ulikuwa unauzwa sokoni, wazee walikuwa wanaweka kwenye mchuzi.
Lakini miaka ya karibuni sijaionja bizari kwenye mchuzi wala sioni unga wake sokoni
Vitabu vyenu viliandikwa pazi na jogoo, vya sie wahenga viliandikwa jogoo aliyesemaHii si iliitwa pazi na jogoo..?
Enzi hizo mwalimu Nanihii na mazoezi ya Lugha (nilikua natamka luguha) Utoto bana[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana mkuuUmeme utakatika chaji simu.