myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Siku mpya
Huko kijijini kwa bibi imeoteshwa karibu na mkokoa,hadi mwezi wa sita ndio inachimbuliwa kwa ajili ya kuupendezesha wali na samaki mbelele...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asee, uje Dar baada ya Ramadhani tukale vile vidude vyetu pale kitaa[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ndugu yangu, ilikuwa kama hamna mawese au karanga unga wa binzari ilikuwa ndio mbadala kule kijijini. Nimeimiss halafu yake kwakweli... Ahsante binti mpole kwa kunikumbusha ujana wangu.Zamani unga wa bizari ulikuwa unauzwa sokoni, wazee walikuwa wanaweka kwenye mchuzi.
Lakini miaka ya karibuni sijaionja kwenye mchuzi wala sioni unga wake sokoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Inshallah Mwenyezi Mungu atuamshe salama, kila lenye Kheri likawe upande wetu kwenye mwezi huu mtukufu[emoji120][emoji120]Inshallah tukijaliwa wapendwa nawatakia Ramadhan njema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana yake lazima carbamazepine awepo, nipite Buza bila hiari yangu.
Nitajitahidi ndugu yangu, kama sitasogea hadi kule kuvuka mto basi nitakuomba usogee wewe siku ya mnada huku kwetu