Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Poor Bryson Thomas [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1430788

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Jamaa imebidi kukimbia kivuli chake Jf bhana
 
COVID 19.
Maambukizi barani Afrika.

1. Afrika kusini. 4361
2. Misri 4319
3.Moroco 3897
4.Algeria 3256
5. Cameroon 1518
6.Ghana 1279
7.Nigeria 1182
8.Ivory Coast 1077
9.Djibout 1008.
10. Guinea 996

Hali bado haijakaa sawa barani Afrika.
Namba bado zinaongezeka pamoja na vizuizi mbalimbali vilivyowekwa na baadhi ya nchi.


Chanzo, mashirika ya habari
 
Da hatari
 
JINSI YA KUONDOKANA NA JANGA HATARI LA UGONJWA WA FIGO:

1.Usichelewe kwenda HAJA. Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka.
Mara mkojo unaporudi nyuma ya njia na Figo, sumu dutu husababisha maambukizi ya figo, pia njia ya mkojo na "nephritis", pamoja na "uremia". Wakati wito asili (unahisi mkojo) fanya hivyo haraka iwezekanavyo.
 
4. Unywaji mwingi wa "Caffeins".
Caffein hutokana na vinywaji vya Soda na vinywaji vingine laini kama Kahawa, Redblue n.k. Hupandisha shinikizo la damu na figo zako kuanza mateso. Unapaswa kupunguza kiwango cha Coke, Pepsi, Red Bull, nk ambavyo hunywa kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…