Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5. Kutokunywa maji.
Figo zetu lazima zichakatwe vizuri kutekeleza majukumu yake vizuri. Endapo hatunywi ya kutosha, sumu dutu inaweza kuanza kukusanyika katika damu, kama hakuna kimiminika cha kutosha kutoa kwa njia ya figo. Kunywa zaidi ya bilauri 10 za maji kila siku.
Kuna njia rahisi ya kuangalia kama unakunywa maji ya kutosha: Angalia rangi ya mkojo wako; Wepesi wa rangi, ndiyo vzuri.
 
6. Kuchelewa matibabu.
Tibu matatizo yako yote ya kiafya kwa uhakika na uwe unachunguza afya yako mara kwa mara. Wapendwa na wapenzi wangu, hebu tujisaidie wenyewe… Shirikisha wengine, kama unajali. ----
Pia epuka vidonge hivi, ni hatari sana:
D- baridi
Vicks Action- 500
Actified
Coldarin
Cosome
Nice
Nimulid
Cetrizet- D
Hivi vidonge vina Phenyl propanol- amide PPA ambayo husababisha stroke na ni marufuku Marekani.
 
FB_IMG_1587886146801.jpeg
 
Na wametoa pendekezo la sehemu ya mkataba wa kubadilishana wachezaji ambayo itamuwezesha kiungo wa kati -nyuma wa Ufaransa Samuel Umtiti, mwenye umri wa miaka 26, na kiungo wa safu ya nyuma-kulia Mreno Nelson Semedo kuhama baina ya timu.(Sky Sports)
 
Back
Top Bottom