Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Nilicheka kuna mdau anasema eti labda katoka Magu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani huo uzi nimecheka sana
Yote yametoka ndani kabisa huko moyoni na kwenye hulka yangu shemeji. Ndiyo tabia ya wema. Ukishaupanda wewe kazi yako ushamaliza. Matunda yake yanaweza yachelewe au yasionekane kabisa lakini kwa namna moja ama nyingine yapo tu; na siku moja matunda hayo utayaonja kwa namna moja ama nyingine. Hata kama siyo wewe mpanzi bali hata vizazi vyako vitakavyofuata. Wema huwa haupotei kamwe !!!Jamani shem,haya maneno yameugusa moyo wangu.
Nimekosa cha kusema kwakweli maana sikutegemea.
Asante sana shemeji yangu mwenye busara na hekima nyingi.
Mungu aendelee kukushika mkono siku zote[emoji120][emoji120][emoji120]
Ila shem ukaona umalizie na hiyo picha kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Magu unapafahamu bro au unakusikiaga tu?Nilicheka kuna mdau anasema eti labda katoka Magu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kati ya show ambazo sijawahi kuielewa ni hii. Halafu hata hawaweki wanawake wenye misambwanda. Hovyo tu !!!
Kichapo chake sasa tena ukute mayai hayo ndiyo yalikuwa kwenye bajeti ya wiki kadhaa...
Kama kalewa hajitambui nyoka wala hatamdhuru. Au Khantwe una maoni gani? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nina mashati manne na matatu yana maua maua. Aisee nilicheka sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Jemedari wa Kigali inasemekana anao amekimbilia Ufaransa kutibiwa....
Serikali inapopunguza bei, inawalipa wafanyabishara au inatoa tu agizo na wafanyabishara inabidi watii hata kama watauza kwa hasara?Serikali ya Zimbabwe imechukua hatua za makusudi kuwapunguzia bei nafaka wananchi wake wakati huu ambao Dunia inakabiliana na ugonjwa wa coronaView attachment 1431449
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni series mkuuMkuu hii ni series au movie ya kawaida?