moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Serikali ya Zimbabwe imechukua hatua za makusudi kuwapunguzia bei nafaka wananchi wake wakati huu ambao Dunia inakabiliana na ugonjwa wa corona
Hii ninayo,, niliitunza kwa matumiz ya baadae[emoji23][emoji23][emoji23]Naomba niitie ningendako tafadhali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna yule wa eti "umetoka lini magu"View attachment 1430776
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeNimeuona bro.
Unaweza ukakuta ni fyekero la kaka mkubwa halafu kina Khantwe wanamwambia vile[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hivyo ni leo, kweli wengine tumepitwa mno
Wapi hapo mkuu?
Asante sana ninge.Kheri ya kuzaliwa carbamazepine
Mungu akufanyie wepesi kwenye kila hitaji lako na uwe na maisha marefu wewe na vizaz vyako..
Nikutakie Ramdhan Njema pia.
InshaAllah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani huo uzi nimecheka sana
Mkuu hii ni series au movie ya kawaida?
InshaAllah Carba..Asante sana ninge.
InshaAllah na ikawe hivyo.
Nikitakie Ramadhan njema pia
#badonasubirikuonaujue[emoji41][emoji41]