Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Kama ni kweli basi moto ndiyo kwanzaa unafukuta [emoji16][emoji16][emoji16]
Yote yametoka ndani kabisa huko moyoni na kwenye hulka yangu shemeji. Ndiyo tabia ya wema. Ukishaupanda wewe kazi yako ushamaliza. Matunda yake yanaweza yachelewe au yasionekane kabisa lakini kwa namna moja ama nyingine yapo tu; na siku moja matunda hayo utayaonja kwa namna moja ama nyingine. Hata kama siyo wewe mpanzi bali hata vizazi vyako vitakavyofuata. Wema huwa haupotei kamwe !!!
Hiyo picha nimefikiria sana mwishowe mimi na kamati yangu katika hili bichwa langu tukakubaliana tuiweke ili kulipiza kisasi vurugu za jana nilipoamka usiku wa manane nikakukuta uko bize unamuita ningendako eti aje amshuhudie kijana mtanashati Bryson kutoka Magu na suruali yake kali ya vitambaa...[emoji16][emoji16][emoji16]
Ndiyo. Tena na Ninge kaja nawaona bado mnaendelea. Magu kwenyewe sijui hata kama mnakufahamu kulivyo kuzuri. Hovyo tu ila furahia besidei yako salama. Ninge nitadili naye independentile baadaye.Asante sana shem.
Mimi nakuombea uzidi kubarikiwa siku zote.
[emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo ukaamua kulipiza kisasi.
Shem jamani
Hii kitu ni nzuri
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]carbamazepine
This birthday,
I wish you abundant happiness and love. May all your
dreams turn into reality and may lady luck visit your
home today. Happy birthday to one of the sweetest
people I’ve ever known.”
“And on my mind, I thought of giving you the cutest gift
in the world. But then I realized that is not possible
because you yourself are the cutest gift in the world.”
And you are gorgeous in every way, you have made me
Falling in love with all of you over and over again whenever I see you and listen To You
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]