Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Haiwezi pata pahali ya kujishikilia hapo.Korona itashindwaaaaa !!!
View attachment 1431522
Karibu.. najua itakufurahishaShukrani sana Haifungiki nimeshaanza kuishusha.
Kaubaridi na mvua...
😂😂😂😂Usipofanana na binadamu mwenzako unaweza fanana hata na dumu la maji[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1431541
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichapo chake sasa tena ukute mayao hayo ndiyo yalikuwa kwenye bajeti ya wiki kadhaa...
Unakumbuka hashtag yako kwenye post yako orijino ya birthday?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tunarudi upya kwenye mnyukano wetu uleee....
Nyie vijana wawili nawapenda sana, sio kwa upole wenu, kuna vingi zaidi. Mungu azidi kuwaweka karibu zaidi na zaidi maana hiyo ndio furaha yangu.
Mungu awabariki sana[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaleta mrejesho mkuu. 🙏🏽🙏🏽Karibu.. najua itakufurahisha
Serikali inapopunguza bei, inawalipa wafanyabishara au inatoa tu agizo na wafanyabishara inabidi watii hata kama watauza kwa hasara?
Sana.. hii movie nilitazama mara kama tatu nikiirudia tena na tena.Hii kitu ni nzuri
Nitaleta mrejesho mkuu. 🙏🏽🙏🏽
Hizi draft bado zipo kweli zama hizi?
Fanya hivyo mkuu. Hasa zile ambazo ukiwa unatazama unaweza sahau maharage yakaungua jikoniZingine nitakuletea hapa hapa tu
Tuwe tunakaribishana basi au hii COVID-19 inatutenga?[emoji23][emoji23] zipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakumbuka hashtag yako kwenye post yako orijino ya birthday?
#WanakucheleweshaKuonaWajukuuZako
#TumechokanaParabozi