myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
👏👏👏[emoji4][emoji4][emoji4]
Nimejikuta naandika na kufuta mara nyingi.
I didn't see this coming cole,thanks for the loving wishes.
Umekuwa ukinifanya nicheke na kutabasamu mara nyingi.
Sijawahi kuboreka kuzungumza na wewe na mwenyewe unajua.
Ukijana mcheshi na mpole na nafurahi kukufahamu.
Nashukuru kwa upendo ninaoupata toka kwako[emoji7][emoji7][emoji7].
[emoji9][emoji9]
Siwezi kuandika magazeti mimi jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakuu hamlali?
😂😂😂Tupo kwenye shift mkuu.
Kawaida hapa wengine wanalala mchana ili usiku awepo kwenye zamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulale sasa mkuu04:05