Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Mungu ni mwema, all is good!!Asante sana bro. Huku ni kwema. Huko kwako vipi?
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mungu ni mwema, all is good!!
[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Huwa unasikia raha sana ukiona mtu anakereka eti..?
Shostie kwa mabaraka yote uliyopewa corona ikuepuke . na wote tuseme Amen
View attachment 1431704
Toeni Sadaka hali ya kuwa mkono wa kuchoto usijue
Inasikitisha sana Dunia inatudanganya.Watu wanavyopenda ujiko.
Wataalikwa mpaka waandishi wa habari waone unavyotoa sadaka ya kilo ya sukari[emoji23]