carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka kupewa skendo hapa [emoji3]
Juzi kati sinilikudokeza lakini au kisa unatumia App na wewe umekuwa na mambo ya kizee kusahau sana?
#sijatekwa
Bora nibaki hivihivi sijiamini[emoji23][emoji23][emoji23]Chukua madini hayo wewe [emoji23][emoji23]
Heavy commercial
Hata mimi naona!!Mambo yalikuwa mengi.
Mambo ni vipi?
Mpendwa nilichapia siungi mkono hoja comment ileππππMmh! π€
20 tu shem?[emoji23][emoji23][emoji23]Ng'ombe 20 zinakuhusu [emoji16][emoji16][emoji16]
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumbuka bhana sijasahau
Vipi lakini majambo yanaenda?
#najuahujatekwa
#mfungohuu
Kama vile una uwezo wa kulizuia likija [emoji16][emoji16][emoji16]
Nitaweka joka sasa hivi ohooo !!!Naunga mkono hoja
Amen
Hii kitu niliipendaga
Mkuu hizi muvi zote umeshaziangalia?
Huku kwema kabisa.Hata mimi naona!!
Mambo huku nilipo ni poa ..Sijui upande huo..
Niliandaa zawadi ya Birthday hadi nikaila hujatokea[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππππMpendwa nilichapia siungi mkono hoja comment ileππππ