Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400009000731_118470.jpg
 
First born wetu (RIP) alikuwa nao watano; na shemeji zangu wale walikuwa wanapendana sana....Dini nazo zimekuja zikachimba mikwara lakini mitara haina shida kabisa (cc Dr. Mwaka)

Wewe shemeji ni mweupe? Kama ni mweupe ng'ombe 50+ zinakuhusu. Hapo wanapatikana ng'ombe 10 hivi na 40 waliobaki wanathamanishwa kwa pesa (mf. Ng'ombe mmoja laki moja hivyo ng'ombe 40 ni milioni 4)
Shem mimi ni cheusi mangara.
 
Back
Top Bottom