Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inakadiriwa kufikia mwaka 2030 zaidi ya ajira milioni 20 zitachukuliwa na roboti/mashine, Mwanzilishi wa Alibaba na bilionea Jack Ma yeye anaamini maendeleo ya roboti/mashine yatatengeneza ajira kwa kile anachoamini kuwa binadamu ana akili zaidi kuliko kitu chochote kile duniani.
 
Inasikitisha sana...
 
IMG_20200428_144306.jpg
 
Nchi zinazopata watalii wengi zaidi kwa mwaka.

1. Ufaransa- 89M
2. Hispania- 83M
3. Marekani- 80M
4. China- 63M
5. Italia- 62M
6. Uturuki- 46M
7. Mexico- 41M
8. Ujerumani- 39M
9. Thailand- 38M
10. UK- 36M

Chanzo: World Atlas
 
Apple wametambulisha simu mpya aina ya iPhone SE ikitajwa kuwa simu ya kwanza kuwa na bei rahisi katika kipindi cha miaka 4. Simu hizo zina muundo sawa na iPhone 8 ya mwaka 2017 maboresho zaidi yakiwa katika kamera, display, touch ID na mengineyo. Bila kodi utaipata kwa Tzs 925,311 tu.
 
Back
Top Bottom