Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1586714106840.jpeg
 
Jana wameanza kufungua maduka na baadhi skuli, nawaombea wapone haraka, nasi tuwe na afya njema, wafungue ligi yao ili tuburudike.
Mpaka ligi ya England inasimama, Liverpool wapo kileleni na alama zao 82 baasa ya mechi 29 na wakiwa kwenye nafasi ya kulinyakua taji lao la kwanza baada ya miaka 30 tangu walipolitwaa mara ya mwisho msimu wa 1990.
 
Back
Top Bottom