moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Haki za kijinsia
Nimeona jamaa mahali anasema kuwa hili liwe funzo kwa wanasiasa na matajiri. Waboreshe huduma hapa hapa kwa sababu mambo ya kukimbilia Sauzi, India, Ulaya na Marekani kutibiwa kuna wakati kumbe hayawezekani hata kama una ndege yako mwenyewe. Halafu mbaya zaidi kumbe wengi wao wala hawana afya nzuri - kisukari na presha tu pamoja na vitambi na mabilioni yao. Sasa wanapukutika kama nzige. Inahuzunisha sana kwa kweli....Just thinking loud wengi wao wenye hela,afya mgogoro wale wa kutibiwa hospital kubwa mamton saiv maskin wote tunatibiwa hosp za hapa hapa nchini. Mwaka huu mbaya sana
Huyu naye anaendaga shule kweli jamani? Chekechea ama?
Alikuwa analalamika kutengwa na wenzake. Wanasiasa bana....Msinibabaishe narudi kwetu NCCR--Mageuzi.
Joseph SelasiniView attachment 1433430
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo SYBHuyu naye anaendaga shule kweli jamani? Chekechea ama?
Marahaba aisee. Kwema huko? Ushapona?Shikamoo SYB
Neno la busara kabisa. Wanasiasa wanajisahau sanaNimeona jamaa mahali anasema kuwa hili liwe funzo kwa wanasiasa na matajiri. Waboreshe huduma hapa hapa kwa sababu mambo ya kukimbilia Sauzi, India, Ulaya na Marekani kutibiwa kuna wakati kumbe hayawezekani hata kama una ndege yako mwenyewe. Halafu mbaya zaidi kumbe wengi wao wala hawana afya nzuri - kisukari na presha tu pamoja na vitambi na mabilioni yao. Sasa wanapukutika kama nzige. Inahuzunisha sana kwa kweli....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Marahaba aisee. Kwema huko? Ushapona?
Samahani kwa kukukera mara kwa mara na mapicha ya kutisha ya majoka. Nimeshaacha rasmi japo kuna limoja hapa linameza mbuzi natamani kweli kuliweka halafu nikutag [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MarahabaaaaNawasalimu humu ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Marahaba aisee. Kwema huko? Ushapona?
Samahani kwa kukukera mara kwa mara na mapicha ya kutisha ya majoka. Nimeshaacha rasmi japo kuna limoja hapa linameza mbuzi natamani kweli kuliweka halafu nikutag [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]