Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1588069797342.jpeg
 
Marahaba aisee. Kwema huko? Ushapona?

Samahani kwa kukukera mara kwa mara na mapicha ya kutisha ya majoka. Nimeshaacha rasmi japo kuna limoja hapa linameza mbuzi natamani kweli kuliweka halafu nikutag [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nakutupia ignoa listi kwani shngapi
 
Back
Top Bottom