Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
AmeenMungu atupe siku njema
mamaeh hii ndio.midude yangu, wiki nzima napiga mashine tuuSijaona dude hapo jamaa....
Fanya kikupacho furaha kamanda ali mradi usivunje sheria [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1432922
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mkongojo jamaniAaah, we nae! Mimi nitakuwa nimevizia na Binocular pale New Mwanza Hotel; ili nishuhudie ukikutana na poti akiwa na mkongojo wake! 😁
Goodmorning uniq,mzima? Za kuadimika andaeitini wetu?