Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mie huwa nachuja yaani hatua za mwisho ukweli lazima uwepo. Yaan huu u anonymous wa kudumu bagesh ili kunogesha jukwaa zaidi na uhuru kwa sana99% ninayoandikaga humu ni uwongo mtupu. Ni kunogesha stori tu hasa uzi ukiwa umewaka moto. Anayenichukuliaga siriazi humu shauri yake. Sina lo lote, sina cho chote na nipo hapa kula likes tu, kuondoa steresi na upweke. Ila siku ukichoka na uanonimazi foreva tukameet Igoma huko itakuwa powa sana [emoji16][emoji16][emoji16]