myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
23:38
MamboLoading
Niliwahi kuwa na Landcruiser zile za mwanzo kabisa orijino (ya Mwaka 1996). Mashine ile wallahi mpaka sasa hivi nimeipaki tu injini nzima kabisa na ukiipeleka kwa mafundi wanasema hii injini utakufa wewe utaiacha hutaifanya kitu. Ninafikiria niiuze tu kwa hawa jamaa wanaopiga ishu za mashambani japo roho inaniuma kwa sababu kumbukumbu zote nyingi za maisha nimehenya nayo aisee. Mpaka migegedano yaani wakati nikiwa kijana kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]. Na matunzo yake ni ya kawaida tu hasa ukifuata schedule na kuiangalia vizuri.That's true bro. Range imesimama sana. Ila uwe na matunzo ya kutosha. Ukinunua kubali kabisa kuwa umeoa mke wa pili [emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂😂kwetu iko hivi One billion per day fighting corona
Pia sisi tunakumissNiliwamiss
Marahaba TH. Kwema huko kwako? Nimeona mkuu mmoja wa wilaya huko Kusini eti kaaga dunia kutokana na "changamoto ya kupumua". Chukua tahadhari anko japo maandaeitini Korona hii hata mafua hampati but you never know.[emoji2088][emoji2088][emoji2088] usiniambie ankooo....sasa atakuwa wapi? Mbona mimi ananiaga anakuja kushinda huku.???
Shikamoo The don.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujiii ndani ya landcruiser .hivi bro mwaka uliisha na saiv umeanza upya binti wa humu hujavuta tu watu tule wali hata kwa harufu tu. Bado nakumbuka wish yako uliiandika hapa mwaka janaNiliwahi kuwa na Landcruiser zile za mwanzo kabisa orijino (ya Mwaka 1996). Mashine ile wallahi mpaka sasa hivi nimeipaki tu injini nzima kabisa na ukiipeleka kwa mafundi wanasema hii injini utakufa wewe utaiacha hutaifanya kitu. Ninafikiria niiuze tu kwa hawa jamaa wanaopiga ishu za mashambani japo roho inaniuma kwa sababu kumbukumbu zote nyingi za maisha nimehenya nayo aisee. Mpaka migegedano yaani wakati nikiwa kijana kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]. Na matunzo yake ni ya kawaida tu hasa ukifuata schedule na kuiangalia vizuri.
Range ni gari ya matajiri hiyo. Ikikata hata AC system tu sipati picha. Hiyo tunawaachia nyie bro [emoji1547][emoji1547]
Cha muhimu ni uzima wa mwiliUsiku wa baridi na mvua....
Ostaz kafunga kawa mpoleeee. Kwa sasa hata sharubu unaweza kumchezea tu SA [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
AminaAmani itawale usiku wetu
99% ninayoandikaga humu ni uwongo mtupu. Ni kunogesha stori tu hasa uzi ukiwa umewaka moto. Anayenichukuliaga siriazi humu shauri yake. Sina lo lote, sina cho chote na nipo hapa kula likes tu, kuondoa steresi na upweke. Ila siku ukichoka na uanonimazi foreva tukameet Igoma huko itakuwa powa sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujiii ndani ya landcruiser .hivi bro mwaka uliisha na saiv umeanza upya binti wa humu hujavuta tu watu tule wali hata kwa harufu tu. Bado nakumbuka wish yako uliiandika hapa mwaka jana
😂😂😂. Mkuu kwema lakini?😂😂😂😂😂kwetu iko hivi One billion per day fighting corona
😀 😀 🤣 Mimi ni wa kiambu sio kakamega mkuu. Huku tuko freshi kama kawaidaShwari habari ya kwako bro.
Habari za hapo Kakamega[emoji23]
Sana mkuu😂😂😂. Mkuu kwema lakini?
Mnaenda wapi? Kaburini ama?