Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hongera kwake [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
That's true bro. Range imesimama sana. Ila uwe na matunzo ya kutosha. Ukinunua kubali kabisa kuwa umeoa mke wa pili 🤣🤣Zamani nilikuwa natamani Land Cruiser original kabisa ila sasa nimehamishia mawazo kwenye Range. Kuna hizi zenye ukubwa wa kati aisee zinanivutia sana. Labda one day Mungu Akipenda aisee...Gari ya muzungu....
Mimi mzima namshukuru Mungu.
Vipi Hali yako?
Niliwamiss
Mungu atupe usiku mwema
Ninazo zote
[emoji2088][emoji2088][emoji2088] usiniambie ankooo....sasa atakuwa wapi? Mbona mimi ananiaga anakuja kushinda huku.???Ulipotea na KD naye akapotea. Coincidence? [emoji870][emoji870][emoji870]
Nzuri bwana Moud, mapambano yanakwendaje.?