myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
22:09
Ninazo zoteKwahiyo mkuu wewe ni wa jinsia gani?
Tafadhali sina nia ya kukubagua, ila kujua inasaidia namna nzuri ya kuwasiliana hapa
Zamani nilikuwa natamani Land Cruiser original kabisa ila sasa nimehamishia mawazo kwenye Range. Kuna hizi zenye ukubwa wa kati aisee zinanivutia sana. Labda one day Mungu Akipenda aisee...Gari ya muzungu....Mkuu Range ni habari nyingine. Ila huwa napenda sana Defender kwa kuwa linahili mikiki mikiki ya hasle za kiafrika.
Huyu Mpare mwenzio tumehangaika naye sana na waliokuwepo humu wanakumbuka. Tulimpunguzia bei kutoka ng'ombe 70 mpaka 35 (madume 20 na majike 15). Akakubali lakini mpaka sasa katoa ng'ombe sita tu na wawili walikuwa wagonjwa wakafa. Hatuna hamu na Wapare aisee na ukoo mzima tulishamsusia. Akija kupata matatizo atarudi kututafuta mwenyewe akilia. Huwezi kudhulumu mahari ya watu halafu ukabakia salama. Nevaaa !!!Hebu tuache bro,
Mtu unatoaje ng'ombe 100 kwa ajili ya kuoa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kupita na treni ndani ya maji yataka moyo. Vipi likitokea tetemeko au moto halafu mko chini ya bahari? Hovyo kabisa !!!
Ulipotea na KD naye akapotea. Coincidence? [emoji870][emoji870][emoji870]Niliwamiss