Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FIFA WORLD CUP 1986 MEXICO.
Goli hilo la mkono (mkono wa Mungu) liliofungwa na Diego Maradona kwa golikipa Peter Shilton wa England limefuta kabisa unyonge wa Argentina uliosababishwa na wao kushindwa vita ya kugombea Visiwa vya Falklands, baina yao na Uingereza 1982.
Waingereza mpaka leo bado wanaliota goli hilo.
FB_IMG_1587992868463.jpeg
 
Back
Top Bottom