moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kijana toka Magu katishaYote yametoka ndani kabisa huko moyoni na kwenye hulka yangu shemeji. Ndiyo tabia ya wema. Ukishaupanda wewe kazi yako ushamaliza. Matunda yake yanaweza yachelewe au yasionekane kabisa lakini kwa namna moja ama nyingine yapo tu; na siku moja matunda hayo utayaonja kwa namna moja ama nyingine. Hata kama siyo wewe mpanzi bali hata vizazi vyako vitakavyofuata. Wema huwa haupotei kamwe !!!
Hiyo picha nimefikiria sana mwishowe mimi na kamati yangu katika hili bichwa langu tukakubaliana tuiweke ili kulipiza kisasi vurugu za jana nilipoamka usiku wa manane nikakukuta uko bize unamuita ningendako eti aje amshuhudie kijana mtanashati Bryson kutoka Magu na suruali yake kali ya vitambaa...[emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana bro, napasikia tu sijawahi kufika..Magu unapafahamu bro au unakusikiaga tu?
Hivi uzi bado upo au Bryson alifanikiwa ombi lake mods wakaufuta?
[emoji16][emoji16][emoji16]Nina mashati manne na matatu yana maua maua. Aisee nilicheka sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Masha AllahView attachment 1432416Ramadhan ya ibada zaidi, toba, baraka, Amani, upendo, kusamehe, sadaka, kusamehewa.
Kazi ipo mpendwaAisee Sawa mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona alivyonipiga mkwara kwanza?
#uliniahidiuber
#usiniambieumesahau
Ramadhan njema iwe juu yako mpendwa.Kazi ipo mpendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekupa muda Ankoo
#aunianzemsisitizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mpendwa, Ramadhan njema na kwako pia..Ramadhan njema iwe juu yako mpendwa.
Wallah ni mtihani
Ameeen 🤲🤲Asante sana mpendwa, Ramadhan njema na kwako pia..
Ni kumuomba Muumba anusuru vizaz vyetu
Inasikitisha mno ila pengine ni changamsha jukwaa Jf ni kichaka