Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Instagram wametangaza kuja na aina mpya ya profile kwaajili ya walioaga dunia. Aina hiyo mpya ya profile imepewa jina la 'remembering' na itakuwa maalum kwa akaunti ambazo watumiaji wake wamefariki lengo likiwa ni kuboresha utunzaji wa kumbukumbu. Mtu yeyote hatoweza kuongeza kitu chochote akaunti ikiwa ni 'remembering'.
 
Back
Top Bottom