Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Huku hatujambo shem. Mapambano yanaendeleaje huko?20 tu shem?[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari yako lakini?
Huku kwema,yaliyomo yamo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo yanaenda vizuri sana yani nashukuru Mungu.....
Vipi kwako, yaliyomo yamo?
😂😂😂Bora nibaki hivihivi sijiamini[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilale bila nguo wanichungulie?
Nyumba ikiwaka moto je?
Sijaitazama yoteHii kitu niliipendaga
😁😁😁MpendwaBora nibaki hivihivi sijiamini[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilale bila nguo wanichungulie?
Nyumba ikiwaka moto je?
😂😂😂😁😁😁
#mmhmawazoyalihamanajua
Shem acha tuendelee kuvaa barakoa na kufuata ushauri wa kitaalam.Huku hatujambo shem. Mapambano yanaendeleaje huko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaniangusha mdakaji
Hii safari tulianza pamoja toka kwenye chocolate, sasa inakuaje unataka kuishia njiani?
Itazame tu,inafurahisha na ni nzuri piaSijaitazama yote
Hahah! Nitamtafuta kabla sijatoka hapa nimsalimie...Huku kwema,yaliyomo yamo.
Ulimisika tu na chafujo wetu stella.