Bado haijatoka sana... Una kama dk zaidi ya 100 kabla ya kuamka.
Haya kazi njema
Haha hauna upole kabisa wewe, labda uwe kijana mtaratibu aliyechangamka.
Kwani kuwa mtundu ni mpaka uharibu nini?
Mbona sioni traits za upole kama ninavyoziona za utundu.Haki mimi mpole sana... na ni mtaratibu pia...
Sina hakika kama nimechangamka...
Utundu ni kuharibu vitu alafu unavitelekeza... unakuta vitu vipo sealed, wewe unavichana alafu unaachana navyo... huo ni utundu...
Cc: mahondaw
Ulishawahi kwenda au imani yako inakuponya!!