moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Baba na mwana
Mbona sikuelewi kwani Tanzania hapo hatupo, mbona wameweka hadi wenye idadi ndoga zaidi yetu, kivip mkuu
Duh kwa mb 20 nilizonazo imenibidi niipite tu na kukuuliza mkorea wetuhiyo video umeiangalia?
Salam kwenu
AsanteWakulima poleni
Binadamu sisi hovyo tu...Makazi ya mwisho ya Mwanadiplomasia
Augustine Mahiga
View attachment 1437851
Sent using Jamii Forums mobile app