Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nmeona bro, jirani huwa yupo kama hayupo vile[emoji16][emoji16]Leo jirani yupo kwenye mood [emoji16][emoji16][emoji16]
Huku salama bro. Mgeni huyo siku zake zitafika na mtamfurusha kwa mateke na mangumi arudi huko alikotoka. Bakieni salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nmeona bro, jirani huwa yupo kama hayupo vile[emoji16][emoji16]
Uzima upo huko bro? Huku hatujambo bado tunaendelea kupambana na mgen wetu
Wewe na Haifungiki nawakubali sana kwenye muvi na series. Hata sijui muda wa kuziangalia huwa mnaupata wapi.
Kwema bro, mnaendeleaje huko bro?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]