moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Asante sana bro, hakika dua zako Muumba amezisikia na itakuwa hvyo..AminHuku salama bro. Mgeni huyo siku zake zitafika na mtamfurusha kwa mateke na mangumi arudi huko alikotoka. Bakieni salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahah ukiwa mlevi wa kitu flan, lazima utenge ratiba yako kabsa,ndivyo inavyokuwa bro..Wewe na Haifungiki nawakubali sana kwenye muvi na series. Hata sijui muda wa kuziangalia huwa mnaupata wapi.
3020 si bado sana mkuu ama?
Fusho linasaidiaUsiku wa mafusho......
Kaaazi sana kufika hukuDawa hiyooo....
Itatufikia lini?
FDA Allows For 'Emergency Use' of Remdesivir, Experimental Coronavirus DrugView attachment 1438078
Kama mtu hana kitu anafanya, anaweza watch muvi kama kumi hivi ama zaidi.. Lakini kwa maseries hizo zinatakaga umakini na zinachukuaga muda mrefu wakati anazifuatilia.Wewe na Haifungiki nawakubali sana kwenye muvi na series. Hata sijui muda wa kuziangalia huwa mnaupata wapi.
Ukijifusha na mwenzako..unaponaFusho linasaidia